Friday, 30 December 2016

HOME







 Bruno Vocational Training Centre (BVTC)
is a vocational training Center which was born on the 15 th of December 1995 under the patronage of Mr. Bruno B.Ndege,who was the Director of Buguruni Auto Services and General Supplies Limited following masive application from parents whose children wanted to undergo informal training in motor which mechanics ata the garage he was running.Most of the applicant were secondary school leavers as well as primary school leavers who found no opening for further education.Although the concept of establishing a vocational training center seemed expensive and hard road to travel

NEWS
Chuo cha ufundi magari na udereva Bruno vocation kilichopo Buguruni Rozana kinatangaza nafasi za masomo ya ufundi magari
Walengwa ni vijana waliohitimu elimu ya msingi na secondari na kwa wale waliopo majumbani.Nafasi za masomo ya ufundi mwaka 2017 zimeanza kutolewa katika chuo cha ufundi magari BRUNO VOCATION,
  1. Umakenika,
  2. Break za magari
  3. Umeme wa Magari
  4. Injini za Magari
  5. Gierbox
  6. Startormotor
  7. Elimu ya Ubunifu katika karakana zetu za chuo
BEI YA FOMU
Fomu ya Kujiunga na Chuo ni Tshs.5000/= Tu
Chuo kimeandaa mazingira ya kulipia karo kwa awamu ili na watu wenye kipato cha chini wanufaike na huduma zetu.
Chuo kimeandaa mazingira ya kulipia karo kwa awamu ili na watu wenye kipato cha chini wanufaike na huduma zetu

ENEO LA SHULE ILIPO
Tupo Buguruni Rozana jirani na Makaburi ya Anglikana Barabara ya Uhuru shuka kituo cha mabasi ya Rozana

MAWASIOLIANO
SIMU NO: 0713 612396 / 0754 784387 / 0754 239781



Wednesday, 28 December 2016

CONTACT


HEAD OFFICE

BUGURUNI MALAPA ILALA
P.O.BOX 25524
DAR ES SALAAM,
TANZANIA

Telephone: 0744-239 781/0744-363 782/ 022-2861415

Email:brunovtc15@gmail.com

www.brunovocationaltrainingcentre.blogsport.com


Wednesday, 7 December 2016

COURSES & FEES

WALENGWA NI KUANZIA:Wahitimu Elimu ya Msingi/Sekondari /Watu wazima na watu   kutoka katika taasisi mbalimbali wanaohitaji kujiendeleza katika fani hii (KWA JINSIA ZOTE)


KOZI ZITOLEWAZO NI: 

A.  Umekenika (MV. Mechanics) katika vitendo na (Nadharia) 

B.  Umeme wa magari (Auto electrical) katika vitendo na (Nadharia) 

Mafunzo ya ufundi: kwa njia ya lugha ya Kiswahili bila masomo bebeshi yataendeshwa kwa kipindi cha mwaka mmoja baada ya hapo utafanya mtihani wa Chuo tu kwa ajili ya kupatiwa cheti cha kuhitimu mafunzo chuoni.
Ila unaweza kuomba  kufanya Mtihani wa Taifa wa(FANI) na hii utaruhusiwa baada ya kuonekana rekodi zako za mahudhurio mazuri kimasomo na katika mitihani yako ya majaribio ya kila wiki kwa mwaka mzima, siyo vinginevyo. 


Wakati wa kuanza uje na madaftari (2) aina ya Counter Book, Kalamu, Rula, Picha (3)  Passport size.


  ADA YA MASOMO KWA MWAKA NI TSH. 490,000/= tu
 
A.  Mwanachuo anapoanza masomo zilipwe Tshs. 100,000/= ada ya awali, na  
     Tshs.20,000/= za uniform na kitambulisho kwa mwaka mzima.

B. Pasipo kulipa malipo kamili ya Tsh. 120,000/= kama ilivyoelekezwa wakati wa  kuanza    masomo utalazimika kuijaza fomu ya mkataba ambayo utaigharamia Tshs 5000/= na utapewa muda wa siku saba kumalizia kiasi kilichobaki

C .Salio la kiasi cha Tsh. 390,000/= zitakuwa zinalipwa kwa awamu kisi cha 
     Tsh.17,000/=
     kwa mujibu wa maelekezo ya fomu ya malipo 



 MAFUNZO YA UFUNDI KWA NJIA YA MFUMO WA CBET

Mafunzo ya ufundi kwa njia ya mfumo wa CBET (Kitaifa) yataendeshwa kwa lugha ya      kingereza kwa kipindi cha miaka miwili ndipo utaruhusiwa kufanya mtihani wa Taifa. Hii nikutokana na maelekezo ya mtahala wa ufundishaji kitaifa (VETA) na ni lazima         uyasome masomo bebeshi kama ifuatavyo:
(i) Communication skills   (ii)  Engineering Mathematics  (iii)  Basic Automobile (iv)Engineering drawing   (v) Computer application  (vi) Engineering science  (vii) Work shop Technology  (viii) Direct Current Network  (ix) English     
     
 Ada ya masomo kwa mwaka ni Tshs. 1,400,000/= 

unapoanza zilipwe Tshs.  700,000/=salio la kiasi cha Tshs. 700,000/= zitalipwa kwa awamu kiasi Tshs. 70,000/= kila mwisho wa mwezi hadi mwisho wa malipo. Wakati wa kuanzia masomo ya ufundi uje na madaftari ya masomo yote yaliyohainishwa katika kipengele namba (4) na picha (3) passport size.     


MALIPO
Malipo yote  yalipiwe katika Bank zilizoelekezwa,    
hii ni kwa usalama wa fedha yako. Hakikisha unaandika jina la Mwanachuo katika 
Pay - in  slip ya Bank na uilete Chuoni kwa uthibitisho wa malipo. Bank zinazohusika ni:- 
 
A.  CRDB popote Tanzania Account Na. 01J1008454800 - Bruno Auto Training Centre
B.  AKIBA Commercial Bank Tawi la Buguruni au popote. Account Na. 10200586487 - BRUNO  V.T.C